Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amechukua Fomu ya Uteuzi Kogombea Urais wa Zanzibar Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara leo 30-8-2025

MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Uteuzi ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025. 

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar  na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina akizungumza na kutowa maelezo  wakati wa zoezi la kukabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar, kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Uteuzi ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha mkoba wake ukiwa na Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea Urais leo 30-8-2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
VIJANA  Stronger With Mwinyi  wakihasasisha wakati wa  Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA madereva wa Bodaboda Zanzibar wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025

VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais  Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM katika kuitikia dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza ka Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alipofika katika viwanja vya kaburi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM katika kuitikia dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza ka Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alipofika katika viwanja vya kaburi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.