Habari za Punde

UKUTA, UKINGO WA MALINDI UKO HOI.

Ukuta  unaozuiya maji ya bahari katika  ufukwe wa pwani ya Malindi Funguni ukiwa  katika hali ya kumomonyoka na maji ya bahari  na hatimaye kubomoka kama unavyoonekana picha na juu yake kukiwa na ukingo wa mabati ndani yake kukiwa na ujenzi , hali ya ukingo huo ukiendelea kuharibiwa na maji ya bahari.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.