Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS NAE AENDA UTURUKI LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na Msaidizi Mkuu wa Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Derhan Dogan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo, wakati Makamu wa Rais alipokuwa akielekea Nchini Turkish kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa nne wa Umoja wa Mataifa, utakaozungumzia juu ya Maendeleo ya Nchi masikini Duniani. Mkutano huo unatarajiwa kuanza jumaatatu ijayo mjini Istanbul. Katikati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mahadhi Juma Maalim.


Amour Nassor VPO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.