Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Tunzo ya Heshima Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Mkapa kwa kutambuwa mchango wake bora kwenye mambo ya michezo kutokana na jitihada zake za kuwezesha kujengwa uwanja mpya wa michezo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi ufunguo wa Gari Mwanamichezo bora wa mwaka 2010 Mwanaidi Juma wa JKT katika tafrija iliyofanyika hoteli ya Movenpick Dar es salaam jana usiku. kushoto Waziri wa Michezo Dk. Emanuel Nchimbi
Amour Nassor VPO
Amour Nassor VPO
No comments:
Post a Comment