Habari za Punde

RIPOTI YA MV SPICE ISLANDERS IMEKAMILIKA - AKABIDHIWA RAIS


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea ripoti ya tume ya uchunguzi wa kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islander,iliyoama katika mkondo wa Nungwi kutoka kwa Mhe,Abdulhakim Ameir Issa, jana wakati tume hiyo ilipofika kukabidhi ripoti yake Ikulu Mjini Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.