Habari za Punde

Dk Shein Akutana na Watendaji Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo

Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar,ili kuzungumza na Uongozi wa Wizara Habari,Utamaduni Utalii na Michezo,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara Habari,Utamaduni Utalii na Michezo,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara Habari,Utamaduni Utalii na Michezo,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.