Mpiga picha wa Daily News na mmiliki wa Blog Maarufu ya jamii Issamichuzi.blogspot.com akibadilishana mawazo, mikakati na mpiga picha wa Zanzibar Leo na mmiliki wa blog ya zanzinews.blogspot.com.
SACP NGOLE AKAGUA MIFUMO YA KIUSALAMA KATIKA MGODI WA ANGLO - SONGWE.
-
Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Miundombinu Muhimu Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Ngole kutoka Makao Makuu ya Polisi
Dodoma amekagua ...
8 hours ago
wazee, najua mnabadilishana uzoefu, hongereni kwa kazi mnayoifanya!..Mungu awabariki.
ReplyDeleteMzee Othman zungumza na Michuzi akuunganishie matangazo ya biashara uengeze kipato kidogo...
ReplyDelete