Habari za Punde

Makamu wa Rais Dk. Bilal Ahudhuria Mkutano wa Nchi za Afrika Endelevu.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia
na Waziri wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika
kwa mkutano wa siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo
endelevu kwa nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone
Botswana leo jioni.
 Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania
wanaishi Nchini Botswana leo.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja
na Watanzania wanaoishi nchini Botswana baada ya kuzungumza na
Watanzania hao leo jioni mjini Gaborone Botswana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.