Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo akifungua Mkutano Mkuu wa ZFA ,kumchagua Rais wa ZFA Taifa uliofanyika ukumbi wa Salama Bwawani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Uchaguzi Gulam Abdalla akiongoza kikao cha uchaguzi mdogo wa ZFA uliompata Rais wake Amani Magungu.
No comments:
Post a Comment