Habari za Punde

Pemba Kupata Maji Safi na Salama

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Dk.Mustafa A.Garu kulia,akibadilishana hati za utekelezaji wa Mradi wa Maji safi katika kisiwa cha Pemba na mwakilishi wa Kampuni ya Sino Hydro Cooperation ya China Qin Chao baada ya kutiliana saini mradi huo katika hoteli ya Bwawani jana,nyuma yao ni wajumbe wa bodi ya Mamlaka hiyo,(Picha na Abdallah Masangu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.