Habari za Punde

Mkutano wa Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania






Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Tanzanmia Mohammed Ali Maalim, akitowa maelezo ya Jumuiya yao kwa Rais wa Zanzibar. wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani. 
Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaaf wa Jamuhuri ya Muungano,Rashid Ali Juma, akisoma risala yao wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wao Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani.

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo, alipohudhuria katika Mkutano Maalum na Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja. ([Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
   Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ramadhani Mzori akitowa shukrani kwa niaba wa Wanachama wezeke kwa Rais wa Zanzibar baada ya kutowa nasaha zake kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu wa Muungano baada ya  kuwahutubia  katika Ukumbi wa Salama Bwawani.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.