Mshambuliaji wa timu ya Azam, akimpita beki wa timu ya Simba.
Benchi la Ufundi la timu ya Azam likiwa haliamini nini kinafanyika uwanja katika mchezo wa Kombe la Urafiki,
Mchambuliaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Azam katika mchezo wa Kombe la Urafiki inayofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. timu hizo zimetoka sare ya 1--1
Kocha wa timu ya Simba akiwa haamini macho yake katika mchezo wa Michuano ya Urafiki Cup ilioandaliwa na Chama cha Mpira Zanzibar ZFA,ili kuzipa mazoezi timu zinazoshiriki michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu mjini Dar-es-Salaam.
Beki wa timu ya Simba akiokoa moja ya mashambulio golini kwake katika mchezo wa Urafiki Cup, uliofanyika katika uwanja Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1 - 1
No comments:
Post a Comment