Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tano kushoto) akijumuika na Waislamu, wananchi na VCiongozi mbali mbali katika Sala ya Iddi El Fitri iliyosaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo

Baadhi wa Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Sala ya Iddi el Fitri iliyosaliwa kitaifa katika msikiti wa Mwembesahauri Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na watoto wa kiislamu walioshiriki katika Sala ya Iddi el Firti iliyowajumuisha waislamu kutoka mitaa mbali mbali katika Mji wa Zanzibar,na kusaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]
No comments:
Post a Comment