Habari za Punde

Mfanyabiashara wa Mapambo ya Maua

Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua akitayarisha mapambo hayo katika viwanja vya bustani ya Mkunazini kwa ajili ya wateja wake ili kupamba katika kipindi cha Sikukuu ya Eid-Fitry inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii. 

2 comments:

  1. ASSALAM ALAIKUM KAKA OTHMAN...NAONA KAMA KICHWA CHA HABARI HAKIJAKAA SAWA HEBU ANGALIA KWA MAKINI NAONA KAMA INATAKIWA ISOMEKE "MFANYABIASHARA WA MAPAMBO...." NA SIO "Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua...."

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.