Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua akitayarisha mapambo hayo katika viwanja vya bustani ya Mkunazini kwa ajili ya wateja wake ili kupamba katika kipindi cha Sikukuu ya Eid-Fitry inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii.
PIGABET YAWATANGAZA WASHINDI WA PROMOSHENI ZA SHINDA NDINGA NA JISMATISHE
-
Dar es Salaam, 4 Septemba 2025 – Kampuni ya michezo ya kubashiri PigaBet
leo imetangaza kwa shangwe majina ya washindi wa promosheni zake kubwa
mbili ...
1 hour ago
ASSALAM ALAIKUM KAKA OTHMAN...NAONA KAMA KICHWA CHA HABARI HAKIJAKAA SAWA HEBU ANGALIA KWA MAKINI NAONA KAMA INATAKIWA ISOMEKE "MFANYABIASHARA WA MAPAMBO...." NA SIO "Mfanyabiashara ya mapambo ya Maua...."
ReplyDeleteShukran mdau tumerekebisha
ReplyDelete