Habari za Punde

Zoezi la Sensa ya watu na makaazi linavyoendelea

Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mohd Hafidh Rajab akielezea namna ya Zoezi la Kuhesabu watu lilivyoanza na hatua inayoendelea hivi sasa katika Maeneo ya Zanzibar,huko Ofisini kwake Mwanakwerekwe.wambele yake ni muandishi wa Star Tv Abdalla Pandu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.