Habari za Punde

Mafunzo ya Waandishi wa habari yaendelea Pemba


Mwalimu wa Chuo cha Uwandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC), Juma Ali Simba akizungumza na waandishi wa habari ambao ni wanachama wa klabu ya waandishi wa habari Pemba (PPC), kwenye mafunzo ya siku tatu juu ya maadili ya waandishi wa habari, yaliofadhiliwa na Bazara la Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa habari Pemba (PPC), yaliofanyika ukumbi wa TASAF Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.