Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akifunguwa mkutano 45 wa Umoja wa Usafiri wa Ndege Duniani WACA,wakati akifunguwa mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar.
Rais wa WACA Maga R. Ramasamy, akisoma hutuba ya Umoja huo wa WACA, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 45.unaofanyika Zanzibar ili kuitagaza katika Soko la Kitalii.
Makamu wa Rais wa Kanda Afrika,Indian Ocean Islands na Middle East, Yousef Yousef kutoka Jordan, akiztowa machache kuhusu mkutano hkufanyika Zanzibar.
Waheshimiwa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa WACA. Yousef. Yousef. akitowa maelezo ya Mkutano huo wa 45 wa WACA, unaofanyika Zanzibar katika hoteli ya Sea Cliff, Zanzibar.
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbaruok, akifunguwa mkutano huo katika hoteli ya Sea Cliff Zanzibar nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 
Hayooo mambo ya msewe hunoga kwa zumari linapopigwa kwa madaha yake.
Mambo ya ngoma ya kibati hiyo kwa wageni kuingia kucheza.
Mambo ya Zumari la Msewe hilo limewapagawisha Wajumbe.
Wasanii wa kikundi cha Sanaa wakicheza ngoma ya msewe kutowa burudani.
Wajumbe wa Mkutano wakipiga ngoma ya SEGA.
Wajumbe wa mkutano wakiserebuka muziki unaoporomoshwa na bendi ya Coconut katika ukumbi wa hoteli ya sea cliff Zanzibar..
No comments:
Post a Comment