Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mhe. Abdurahaman Kinana akiwa na timu yake akiwasili katika viwanja vya kibandamaiti kushoto Katibu wa Uenezi Nape Mnauye na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Wanachama wa CCM.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar akiwasili katika viwanja vya kibanda maiti.kuwahutubia Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi, ukiwa ni Mkutano wa kumpongeza kuchaguliwa kwake Mjini Dodoma wiki iliopita 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdurahaman Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Silima Borafa. wakipiga makofi kumkaribisha Makamu Mwenyekiti baada ya kuwasili katika viwanja vya Kibanda maiti.
Kijana akisoma Quran kabla ya kuaza kwa mkutona wa hadhara wa kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. AliMohamed Shein, katika viwanja vya Kibanda maiti Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mhe. Abdurahaman Kinana akitowa salamu kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Makamu Mwenyekiti waCCM Zanzibar Dk. Seih, kuwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa Chama Mapinduzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya kibandamaiti sebleni Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisisitiza jambo wakati akitowa hutuba yake.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Viongozi wa CCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.hein, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kumpongeza uliofanyika katika viwanja vya Kibanda maiti.
Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akihutubia na huku mvua ikinyesha katika eneo hilo na mkutano ukiendelea.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa Makamu Mwenyekiti akihutubia mkutano huo.
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akiwa na jahazi kumainisha kuivusha CCM katika uongozi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dak. Shein.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Silima Borafya. akitowa salamu kwa Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, akiwatambulisha Viongozi wa Sekretarieti ya CCM katika viwanja vya Kibanda maiti.
Naibu Katibu CCM Tanzania Bara Mwigulu Nchemba .akiwasalimia Wana CCM katika viwanja vya Kibanda maiti.
Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Asha- Rose Migoro
Katibu Mwenezi Siasa na Uenezi Nape Mnauye.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini,akisoma risala ya mikoa miwili ya Mjini Magharibi katika mkutano wa kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein, katika viwanja vya kibanda maiti.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdurahaman Kinana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Silima Borafya, wakimsikiliza Katibu wa CCM Mjini akisoma risala ya mikoa mitatu ya Unguja katika mkutano wa kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein.
Mjumbe wa Halmashauri ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Mama Mwanamwema Shein, Mama Pili Balozi Seif Iddi na Katibu wa Fedha na Uchumi Mhe, Zakia Meghji, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katia viwanja vya kibandamaiti Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakishangilia katika viwanja vya Kibanda maiti wakiwa na fulana zilizokuwa na ujumbe wa Oporesheni Samaki CCM Mpango Mzima.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia na mabango ya picha za Viongozi mbalimbali wa CCM, katika viwaja vya kibandamaiti
No comments:
Post a Comment