Habari za Punde

Mdau Juma Mohammed akituwakilisha China tamasha la Msimu baridi

 Juma Mohamed akiwa katika banda la maonyesho la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Wuhan China katika Tamasha la nane la kimataifa la msimu wa baridi linalofanyika viunga vya Chuo Kikuu cha Wuhan.China.

 Juma Mohamed akiwa katika banda la maonyesho la Indonesia Mjini Wuhan China katika Tamasha la nane la kimataifa la msimu wa baridi linalofanyika viunga vya Chuo Kikuu cha Wuhan.China.
 Juma Mohamed akiwa katika banda la maonyesho la India Mjini Wuhan China katika Tamasha la nane la kimataifa la msimu wa baridi linalofanyika viunga vya Chuo Kikuu cha Wuhan.China

Juma Mohamed akiwa katika banda la maonyesho la Palestina Mjini Wuhan China katika Tamasha la nane la kimataifa la msimu wa baridi linalofanyika viunga vya Chuo Kikuu cha Wuhan.China.
Juma Mohamed akiwa katika banda la maonyesho la Jamhuri ya Msumbiji Mjini Wuhan China katika Tamasha la nane la kimataifa la msimu wa baridi linalofanyika viunga vya Chuo Kikuu cha Wuhan.China.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.