Mwananchi wa Kijiji cha Uzini akicheza Ngoma ya Boso kufurahia ufunguzi wa Skuli ya Secondary iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katika kijiji hicho cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na Walimu wa Skuli mpya ya Sekondari iliojengwa huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipata maelekezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli mpya ya Sekondari Yussuf Ali Mohd baada ya kuingia katika Darasa la Compyuta huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Picha na Yussuf Simai, Maelezo
No comments:
Post a Comment