Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Viongozi Wakuu wa Kitaifa Mhe Mwanajuma Mdachi, akiwasilisha mapondekezo ya Kamati yao baada ya kuwasilishwa Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ruzuku kwa Vyama vya Siasa Nam 6 ya mwaka 1997. iliowasilishwa na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud.
Mwakilishi wa Jimbo la Kitope akichangia mswada huo.wakati wa Kikao cha asubuhi, kilichoaza leo.
Mkalimali wa Lugha ya Watu wasiosikia akitowa ishara ya maneno kwa kutumia ishara wakati wa kuchangia miswada na maswali na majibu, akiwa katika ukumbi wa mkutano kutowa ishara kwa Wananchi hao na wao kupata kujuwa kilichozungumzwa katika Baraza laWawakilishi kwa kupata fursa hiyo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akitoka katika Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirisha kwa ajili ya mapumziko ya mchana.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Micheweni Mhe.Subeit Khamis Faki, wakitoka katika ukumbi wa mkutano wakibadilishana mawazo.
Mwakilishi wa kuteuliwa Mhe Ali Mzee na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe Haji Omar Kheri wakitoka ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi.
Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe.Nassor Salim Jazira, akibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Said Shaban na Mwakilishi wa Bububu Mhe.Hussein Ibrahim Makungu (BHAA) nje ya ukumbi baada ya kuahirishwa kawa Kikao cha asubuhi kwa mapumziko.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wanawake wakijadiliana kitu baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi cha kuchangia Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Ruzuku kwa Vyama vya Siasa No6 ya mwaka 1997
No comments:
Post a Comment