Habari za Punde

Mitaani Leo asubuhi

 Wavuvi katika bandari ya Mazizini Unguja wakikifanyia matengeneo chombo chao kwa ajili ya kujiandaa na uvuvi, wakipaka rangi na kutia kalafati katika sehemu zinazopitisha maji wakati wa kazi yao ya uvuvi katika bahari kuu. 
 Mdau hayo mambo ya mzigo kupakia bila kiasi na uwezo wa chombo, ndivyo ilivyowakuta wajamaa hawa wakizowa mchanga waliokuwa wamepakia katika rukwama lao na kuupakia tena, ili kuendelea na safari yao wakiwa katika mitaa ya mjimkongwe mkunazini Unguja..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.