Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam,Morogoro,Mtwara,Lindi na Pwani. Vivutio hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe wa kigamboni, soko la kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa, J.K.Nyerere Air Port, Soko la kariakoo, mashule ya sekondari na msingi, pia watatembelea manispaa za ilala, temeke na kinondoni ambapo watakutana na viongozi wakuu wa wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa hiyo.
HALMASHAURI YA WILAYA MBINGA YAKUSANYA BILIONI 12.4 KATI YA LENGO LA
KUKUSANYA BILIONI 8.2
-
Mbinga-Ruvuma.
Halimashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma,imekufanikiwa kukusanya
Sh.bilioni 12.2 kati ya lengo la awali la kukusanya Sh.bilioni 8.4 had...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment