Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Mundu na Duma zimetoka sare ya bila kufungana.

Mchezaji wa timu ya Duma akimpita beki wa timu ya Mundu katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar timu hizo zimetika sare ya bila ya kufungana wakati zikipapatua kushuka daraja wakati zikiwa nafasi za mwisho katika ligi hiyo.
Mchezaji wa timu ya Duma kushoto na wa Mundu wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya Mundu akimpita beki wa timu ya Duma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa Amaan.

Kiongozi wa timu ya Duma Asaa akiwa na butwaa baada ya timu yake kufanya vibaya katika mchezo wake na timu ya Mundu uliofanyika katika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.