Mradi wa Uwekaji wa Taa za Solar katika barabara ya mjini wa Zanzibar umeaza na tayari katika barabara ya kutoka Maisara ikiwekwa taa hizo za nguvu ya jua.
Mafundi wakifunga taa hizo katika barabara ya kutokea kwa Khamis Machungwa kwenda Michezani
No comments:
Post a Comment