Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Afisa wa Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo zanzibar Faki Mjaka akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo katika Mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.kulia ni mwandishi kutoka Redio adhana Said Suleiman.
Waandishi mbalimbali wakipitia sherianamba 5 ya mwaka 1985 inayotaka kufanyiwa marekebisho hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Idara ya habari Maelezo zanzibar Miza Kona Ngwali akitoa maoni kuhusu marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment