Habari za Punde

Maadhimisho Siku ya Mazingira Barazni Afrika. Yafanyika Jiji Dar-es-Salaam.

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Wakifanya Usafi Kuadhimisha siku ya Mazingira Barani Afrika kwenye Viwanja vya  Tanganyika Packers kawe Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam
 Mawaziri wa Nchi  Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Wamazingira  Dk Terezya Huvisa,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Chalrs Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sar es Salaam Said Meek Sadiki wakifanya Usafi Kandokando Mwabarabara ya kawe Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiwa hutubia Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni Wakati Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo  zmefanyika kenye Viwanja vya Tanganyika  Packere huko Kawa Jijini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja]


1 comment:

  1. acheni kudanganya wananchi , mambo muhimu yanakushindeni mnajidai kufanya usafi wa uongo hapa ..Kuna kitu kinaitwa division of labour kama hamkusoma nendeni mkasome tena, majukumu yenu sio kudanganya kufagia , mmepewa majukumu mazito ya nchi badala yake mnaiba na kuchukua rushwa na kujinufaisha wenyewe na familia zenu , mnawadanganya walalahoi kwa kufanya usafi feki , kuna watu wamepewa kazi za usafi hao ndio wawajibike

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.