Habari za Punde

NSSF Yawasili Zanzibar kwa Michezo ya Pasaka.

Afisa Uhusiano wa NSSF mwenye fulana nyeusi akizungumza na wenyeji wao wa ZSSF baada ya kuwasili katika bandari ya Zanzibar kwa michezo ya Pasaka inayoanza leo mjini Zanzibar.

Wachezaji wa timu ya NSSF wakiwasili katika bandari ya Zanzibar kwa ajili ya michezo ya Pasaka wakipokelea wa Wenyeji ZSSF
Afisa Uhusiano wa ZSSF Mussa Yussuf akiwa na wageni wake wakitoka katika jengo la bandari ya Zanzibar baada ya kuwasili kwaajili ya Michezo ya Pasaka na wenyeji wao.ZSSF

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.