Ujenzi sehemu ya kukalia abiria kusubiri usafiri wa Boti kwenda Pemba na Dar-es-Salaam ukiendelea na Ujenzi wake unaojengwa na Kampuni ya Azam Marine.
Ujenzi huu unaonekana ukiendelea kwa kasi na kuonesha mvuto wake kwa sehemu nyingi tayari zimeshakuwa tayari na kuonesha hali ya uzuri wake na kuwa mfano wa kuigwa kwa wafanyabiashara wengine kuwekeza katika sehemu ja jamii za kutowa huduma.
Jengo hili likiwa la Kimataifa kutokana na Ujenzi wake na kuweza kusema eneo hili ni mfano kwa Afrika Mashari likiwa na hadhi ya kimataifa kutokana na huduma zitakazopatikana baada ya ujenzi wake na kuimalizika. Tutazidi kuwajuulisha kadri litakavyoendelea
No comments:
Post a Comment