Habari za Punde

Waziri Mbarouk Awapongeza Wachezaji wa Judo Zanzibar.

 Kiongozi wa Timu ya Judo Zanzibar Shimaoka akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Pili wa Michuano ya Judo Afrika Mashariki kwa Waziri wa Michezo Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Mbarouk, wakati wa kuipongeza timu hiyo kwa ushinda wao kuiletea Zanzibar Ushindi wa Mchezo huo uliomaliziki hivi karibuni katika viwanja vya JUDOKA Amaan. 
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Mbarouk akimkabidhi zawadi mchezaji Ashraf Suleiman Yussuf  ambaye ameshinda Medali ya Dhahabu katika michuano ya Judo Afrika Masharaki katika uzito wa kilo zaidi ya mia moja.
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Mbarouk akimkabidhi zawadi mchezaji Grace Alfonce Mhanga ambaye ameshinda Medali ya Dhahabu katika michuano ya Judo Afrika Masharaki kwa nafasi za Wanawake katika uzito wa kilo 48


 Waziri waHabari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Mbarouk akijumuika na Wachezaji wa timu ya Zanzibar ya Mchezo wa Judo katika chakula cha usiku alichowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza kwa ushindi wao wa nafasi ya Pili katika michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.