Mwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki Mansoor Yussuf Himid akiwahi kuingia katika ukumbi wa baraza asubuhi kwa ajili ya kuchangia mswada na mswali na majibu.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutokakushoto Ali Salum Mohammed Said Dimwa katikati wakimsikiliza Mwanaid Kassim akizungumza na wawakilishi hao nje ya ukumbi wa mkutano.
Mwakilishi wa kuteulia Ali Mzee Ali kulia akisisitiza jamba na Waziri wa Uwezeshaji na Ushirika Haroun Ali Suleiman.
Mwakilishi wa Kiembesamaki CCM Mansoor Yussuf Himidakimsikiliza mwandishi muandamizi Zanzibar Salim Said Salim akitzungumza nma mwakilishi huyo nje ya ukumbi wa Baraza leo jioni alipofika kuzikiliza mijadala ya michango ya kuchangia miswada inayowakilishwa katika kikao hicho kinachoendelea na Kikao chake.
No comments:
Post a Comment