Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais , katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo,katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,na (wa pili kulia)Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee,
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais ,wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo, Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment