Mradi wa kuweka mazingira ya Usafi katika mtaa wa Vikokotoni ili kuepuka na majanga ya miripuko ya maradhi hasa katika kipindi hichi cha mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar, mradi huu utanufaisha wananchi wa vikokotoni na watu wanaotumia mtaa huo kuweka taka katika toroli hili lilowekwa katika mitaa ya viko kwa kutunza mazingira ya usafi.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wapatiwa Mafunzo Elekezi
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki
katika Mafunzo elekezi kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
yanayofany...
1 hour ago

INAPENDEZA KAMA ULAYA LAKINI TAHADHARINI WASIJE KUYAIBA TU HAYO MATOROLI
ReplyDeleteSafi sana, lakini ili yadumu ni vyema yakavishwa mifuko ili umajimaji unaotokana na taka usiozeshe hayo matoroli nakusambaa kama tunavyoona katika majaa na ni rahisi hata kwa hao wanaochukua hizo taka kuzipeleka kunakohusika, wenzetu waloendelea ndivyo wanavyofanya hivyo. na watumiaji nao wawe na ustaarabu wa kutumia sehemu maalum za kutupia taka.
ReplyDelete