Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR
MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI-MAVUNDE
-
☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20
na Kampuni ya Nyanzaga
☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mav...
4 hours ago
Kama ni uungwana nadhani ilikuwa na kwa Makamo wa Rais kwenda kumjuulia hali Absalom Kibanda na si kinyume chake.
ReplyDeleteKwa uungwana afanye kazizake kwa uadilifu vyombo vya habari ni macho ya jamii inotaka kujikomboa
ReplyDelete