Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR
Standard Chartered yakamilisha uhamishaji biashara za kibenki kwa wateja wa
hali ya juu na reja reja kwa Access Bank PLC
-
Tunayo furaha kutangaza kukamilika kwa uhamishaji wa biashara ya huduma za
kibenki kwa wateja wa Hali ya juu na wa kawaida (rejareja) ya Standard
Charter...
1 hour ago
Kama ni uungwana nadhani ilikuwa na kwa Makamo wa Rais kwenda kumjuulia hali Absalom Kibanda na si kinyume chake.
ReplyDeleteKwa uungwana afanye kazizake kwa uadilifu vyombo vya habari ni macho ya jamii inotaka kujikomboa
ReplyDelete