Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Akutana na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absolom Kibanda leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR

2 comments:

  1. Kama ni uungwana nadhani ilikuwa na kwa Makamo wa Rais kwenda kumjuulia hali Absalom Kibanda na si kinyume chake.

    ReplyDelete
  2. Kwa uungwana afanye kazizake kwa uadilifu vyombo vya habari ni macho ya jamii inotaka kujikomboa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.