Wanafunzi wa Darasa la Mafunzo ya Wajasiriamali katika Jimbo la Kikwajuni wakiwa na Mwalimu wao baada ya kumaliza mafunzo ya kuwawezesha kujiajiri na kukabidhiwa Vyeti vyao vya kihitimu mafunzo hayo ya awamu wa nne kwa Vijana wa Jimbo hilo, Vyeti hivyo wamekabidhiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni,Mafunzo hayo hutolewa na Taasisi ya (TAYI) yakifandhiliwa na mbunge huyo ili kuwawezesha Vijana wa Jimbo lake kujikomboa na kujiajiri katika sekta ya Ujasiriamali.
MULIRO AKABIDHI ASKARI WA KIKE BENDERA KWA NIABA YA IGP KWENDA SCOTLAND.
-
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro amewakabidhi bendera ya Taifa
askari wa kike k...
1 hour ago
Duuu...wakhti na pita wallah! huyu mwalimu ni pacha wangu wa longi..pale VIKO' SCHOOL 1990's.
ReplyDelete