Habari za Punde

Matayarisho ya Ufungaji wa Pembea Mpya Jamuhuri Garden.kwa Ajili ya Sherehe za Eid Wiki Ijayo.

 Fundi wa kituo cha watoto Jamuhuri garden, akifunga moja ya pembea katika kituo hicho.

 Moja ya Pembea mpya iliofungwa katika kituo cha kuchezea watoto katika bustani ya jamuhuri garden ikiwa imekamilika ufungaji wake na ikisubiri kutoa huduma kwa watoto watakaofika katika kituo hicho kwa michezo ya watoto katika siku za sikukuu na week end.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.