Habari za Punde

Vijana wa ZAYEDESA Wapata Elimu ya Ushauri Nasaha wa Afya na Uzazi.



Kaimu Mkurugenzi Idara ya Dawa za Kulevya Zanzibar Mahmoud Ibrahim Mzee, akifunguwa mafunzo ya siku sita kwa Vijana wa Ushauri Nasaha wa Jumuiya ya ZAYEDESA,katika ukumbi wa Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo.kulia Mratibu wa ZAYEDESA  Aisha Ali Karume. 
 Vijana wa Jumuiya ya ZAREDESA wanaotowa Ushauru Nasaha katika kituo cha Ushauri Nashaza cha Miembeni Unguja wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mahmoud akifungua mafunzo hayo.
 Mtoa Mada kutoka Kitengo cha Afya na Uzazi Kassim Issa Kirobo, akitowa mafunzi ya jinsi ya kutowa Ushauri kwa Vijana kuhusiana na Uzazi na Afya wakati wakiwa katika Vituo vyao vya Ushauri Nasaha, Vijana wengi hupata mimba za Utoto na kupata matatizo wakati wa uzazi na kupata maambukizo ya maradhi mbalimbali.
Kodineta wa Jumuiya ya ZAYEDESA  Mgori  Casian akitowa maelezo wakati wa ufunguja wa mafunzo hayo yalioandaliwa na ZAYEDESA kwa Vijana wao kupata elimu ya Ushauri Nasaha wakati wanapokuwa katika shughuli zao za kutowa Elimu kwa Vijana mbalimbali katika marika hatarishi Zanzibar. 



  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.