Benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele katika kuchangia mahitaji mbalimbali yanayoizunguka jamii.
Kwa kutambua hilo hivi karibuni maofisa wa NMB tawi la Chakechake walitoa mashuka ya hospitali yenye thamani ya shilingi million tano kwenye hospitali mbalimbali ikiwamo hospitali ya wilaya ya Wete, Chakechake, Mkoani na Micheweni. Mashuka haya yatasaidia kupunguza hitaji kubwa la mashuka lililokuwa likizikumba hospitali hizi.

No comments:
Post a Comment