Habari za Punde

Crystal Resort ya Paje yafutarisha

02 (1)Mke wa Meneja ya Hoteli ya Crystal Resort ya Paje, Bi. Deva Monique akiwa na mwanawe Thalia akiungana na wanakijiji cha Paje katika futari iliyoandaliwa 
01 (1)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslim Hija (wa kati alievaa koti) akiungana na maafisa mbalimbali wa Mkoa huo katika futari iliyoandaliwa na Ivan Kodeh Meneja wa Hoteli ya Crystal Resort ya Paje iliyofanyika huko Hoteli kwake Paje Mkoa wa Kusini Unguja
03Meneja wa Hoteli ya Crystal Resort ya Paje Bw. Ivan Kodeh, akitoa shukran mara baada ya futari aliyowandalia, huko Hotelini kwake Paje.
04 (1)Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslim Hija na Meneja wa Hoteli ya Crystal Resort Ivan Kodeh na wananchi wa Paje wakitikia dua mara baada ya futari.

2 comments:

  1. waislamu tutazidi kutawaliwa kila siku, mmegaiwa chakula na mzungu mpaka dua mnamuombea

    ReplyDelete
  2. uislamu unakataza kubagua mtu yoyote yule ndugu ommy , kwa mungu sisi sote ni sawa , alie mbora ni yule ateyemwabudu Mungu. Ikiwa tunatawaliwa ni kwa jili viongozi wetu sio waadilifu wameweka rushwa na maslahi yao binafsi , lakini vipi tunatawaliwa na tanganyika mpaka leo?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.