Habari za Punde

Wadi za Makunduchi zaomba Walimu wa Sayansi kutoka Sweden

Ziara ya kikazi ya ujumbe wa wadi za Makunduchi yamalizika kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha elimu katika skuli za Makunduchi. Afisa tawala ndugu Abdalla Ali Kombo akizungumza na bwana Tommy Junemar juu ya uwezekano wa kuleta walimu wa masomo ya sayansi kwa skuli za Makunduchi. Mazungumzo hayo yatafuatiwa na mazungumzo mengine Makunduchi kabla walimu hao kuletwa nchini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.