Habari za Punde

Jiji la Seattle, Marekani

Jiji la Seattle kama linavyoonekana wakati wa asubuhi kutoka kwenye pembeya kubwa "Great Wheel". Kesho Mheshimiwa Makamo wa pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi atahutubia mkutano wa Wafanyabiashara jijini hapa.

1 comment:

  1. kazi kusifia miji ya watu tu , wakati viongozi wetu wameweka mbele rushwa na manufaa yao , si kutwa wana majumba yao huko na mali zao wamezificha , huku wanajidai kutuletea mifuko ya simenti na mabati na upuuzi gani , danganya toto kwa pipi

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.