Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua kituo cha Afya Kijiji
cha Kajengwa,Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra
shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Wilaya
ya kusini (DMO) Daniel Francis Pius,(katikati) baada ya kukifungua
kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja
jana,katika shamra shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Wasoma Utenzi Amina Makame Omar,na Mariam Amour
Haji,kutoka Shehia ya Kijini,walipokuwa wakitoa burudani hiyo kwa
wananchi wakati wa ufunguaji Kituo cha Afya Kijiji cha
Kajengwa,Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra shamra
kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Katibu wa Kamati ya maendeleo Shehia ya Kajengwa
Makunduchi Nassor Simba,alipokuwa akisoma risala ya wananchi wa kijiji
hicho wakati wa ufunguzi wa kituo cha Afya Kijiji cha
Kajengwa,Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra shamra
kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Wananchi wa Shehia ya Kijiji cha Kajengwa
Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,na Vijiji jirani wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza nao wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Afya
Kijiji hapo,katika shamra shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
Wafanyakazi wa Kituo cha Afya Kajengwa Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja,wakiwa sherehe za Ufunguzi wa Kituo hicho,katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,sherehe hizo zilifanyika jana,na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa Kijiji cha
Kajengwa Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja,jana wakati wa sherehe za
ufunguzi wa Kituo cha Afya,katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment