

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika mahafali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, jana.]
Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahafali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja jana
Unguja, jana.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
jana, yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu
jana, yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu

Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi ya kompyuta,ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,wakisimama walipotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu jana

Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kampasi ya Tunguu jana
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya habari,waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu jana, (kutoka kushoto) Stewat Njelekela, Seif Mohamed Nassor na Husna Shaabani Bwamadi.
mahafali ya 9 iliyofanyika kampasi ya Tunguu jana

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Hongereni wanakwetu. I am proud of you all.
ReplyDeleteHaji R. HAJI. USA