Habari za Punde

Ratiba ya Semina kuhusu Rasimu ya Katiba kesho Jumapili


RATIBA YA SEMINA KUHUSU RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
JUMAPILI TAREHE 09 FEBRUARI 2014,
UKUMBI WA TAASISI YA KISWAHILI NA LUGHA ZA KIGENI, VUGA


03.00 Asubuhi               -   Kuwasili kwa Waalikwa na kujisajili

03.30 Asubuhi             -   Kuwasili kwa Mwenyekiti wa Semina, Bibi Mariam M. Hamdani

03.30 Asubuhi         -   Kuwasili kwa Mgeni Rasmi – Jaji Mshibe Ali Bakari

03.10 Asubuhi        -   MC atasoma Ratiba ya Semina kwa taarifa ya waalikwa wote

03.20 Asubuhi       -   Kuwasilishwa mada ya kwanza: “Rasimu ya Katiba: Faida na Changamoto zake” na Humphrey Polepole, Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba

03.50 Asubuhi     -  Ufafanuzi wa Rasimu ya Katiba na Awadh Ali Said na Bi Salama Kombo Ahmed, Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;

04.10 Asubuhi  -  Kuwasilishwa mada ya pili: “Ushirikiano wa Kimataifa” na Mwatum Malale, Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;

04.20 Asubuhi    -  Ufafanuzi wa Ushirikiano wa Kimataifa na Muhammad Yussuf na  Ally Saleh, Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;

04.40 Asubuhi                             Majadiliano

06.40 Mchana                              Mapumziko Mafupi

07.00 Mchana                               Majadiliano

07.50 Mchana                               Usomaji wa Azimio la Semina

08.00 Mchana                               Kufungwa Rasmi kwa Semina na Mwenyekiti 

  

P.O. Box 4523, Zanzibar, Tanzania; Tel: 0777 707820 Cellular; Tel: 0242 223 8474 Office; Fax: 0242 223 8475; Email: zirpp@googlegroups.com;
Website: www.zirpp.org

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.