Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Avinus Aristide katika Kata ya Bugandika Wilayani Misenyi, Mkoani Kagera hivi karibuni wakati wa Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Marehemu Fulgence Kazaura(picha na Freddy Maro)
MRADI WA IPOSA WAONGEZA NGUVU KWA WALIMU KUWAFIKIA VIJANA NJE YA SHULE
-
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, akizungumza leo Mei
23,2025 wakati akifunga mafunzo kwa walimu na viongozi wa Mradi wa IPOSA
katika mkoa...
2 hours ago
Hongera Raisi kwakutojifanya Mfalme kama Maraisi Watanganyika Waliopita... Ama sijawahi kumuona Raisi hata mmoja wa Kiafrica kukaa na local peoples au watoto akazsungumza nao in a very confertable way like that.... It seems that Mr Kikwete has a good words to tell the Boy with a deep mutual understanding and respect... The Bay look very confertable despite that there was a lots of security officers and bodygard behinds and infront the president.... Ruther the bopy look very interesting and he was listerning with the body language and gasticulation are friendly.
ReplyDeleteMashaallah, kwa kweli hivi ndivyo viongozi wa wananchi wanavyotakiwa wawe. Viongozi ni sawa na watu wa kawaida katika aspect nyingi, isipokuwa wao tumewapa heshima ya kutuongoza. Kwa kwali mheshimiwa Rais unastahiki sifa, na utakubukwa daima kwa kuwa pamoja na watu hasa wa jamii ya kawaida. Sifa hii kiislaam huitwa "Tawaadhuy", yaani pamoja na ukubwa, elimu, fedha au heshima aliyonayo mtu, vyote hivyo havimfanyi kuwa na kiburi cha kuwadharau wengine na yuko pamoja kuchanganyika nao katika hali mbalimbali za kawaida kama anavyooneka na Mhe Rais. Mola akupe ushupavu na ushujaa wa kuendeelea na sifa hiyo njema kwani si wengi kati ya viongozi duniani wenye kukubali kujishusha na kuwa kama watu wa kawaida.
ReplyDelete