Kuna taarifa ya kutokea mlipuko na mlio mkubwa mithili ya bomu umetokea maeneo ya Darajani karibu na msikiti na kujeruhi Wahadhiri waliokuwepo katika msikiti wa Darajani mara baada ya kumalizika Sala ya Isha.
Mlipuko huo unasemekana umetokea baada gari ambalo lililopita mbio na kurusha kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye gari ambalo wangelitumia wahadhiri waliokuwa katika Muhaadhara ndani ya Msikiti
Kuna taarifa kwamba mtu mmoja mpaka sasa amepoteza maisha.
Tukipata taarifa zaidi tutawajuulisha
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
ReplyDeleteAllah ampokee mja wake huyo aliyedhulumiwa na amsamehe makosa yake. Amin
Amin.
ReplyDeleteMungu ampe safari njema
ReplyDeletehiyo taarifa haijapatikana hadi leo?
ReplyDelete