Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakiwa katika harakati za mahitaji ya manunuzi ya Futari katika Soko Kuu la Mwanakwerekwe Ubguja. Bei za bidhaa katika soko hilo zilikuwa juu katika siku ya leo nazi moja katika Soko la Jumla imeuzwa kwa shilingi 700/= fungu la mihogo liliuzwa katiki ya shilingi 1000/= Boga Shs 2500/= , ndizi ya Mkono mmoja iliulwa kati ya shilingi 1000/= na 2500/= kwa dole moja
Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefunga Kampeni za CCM Katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja Jijini Zanzibar leo 26-10-2025
-
Mtaalamu wa lugha ya Alama Masika Khamis Ali akitoma maelezo kwa Wananchi
wa makundi maalumu wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha
Mapind...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment